tag:blogger.com,1999:blog-1390522204525900538.post8241872976866406304..comments2022-12-15T10:24:26.162-08:00Comments on Sallyrose Lugembe Blog: Sallyrosehttp://www.blogger.com/profile/13940761640660097335noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-1390522204525900538.post-69528470102288377162010-07-29T16:31:02.600-07:002010-07-29T16:31:02.600-07:00Hello baby Sally, uyo mnyama chini ya Porcupine an...Hello baby Sally, uyo mnyama chini ya Porcupine anaitwa "wildebeest" sina uhakika kwa kiswahili probably ndo tunamwita Nyumbu, wanapenda sana kutembea pamoja, hata wakianza kuvuka barabara kama wako 100 lazima wote wavuke, wanatembea kama hawaoni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1390522204525900538.post-45719148359496411782010-07-12T05:42:57.177-07:002010-07-12T05:42:57.177-07:00yes aunty umepatia anaitwa PORCUPINE kwa kingereza...yes aunty umepatia anaitwa PORCUPINE kwa kingereza na kwa kiswahili nilikua sijui anaitwa nani ata mummy wangu alikua hajui.wow inaelekea unajua kweli wanyama mpaka kazi ya izo miba unaijua? asante aunty kwa kunielimisha mimi na mummy wangu.Sallyrosehttps://www.blogger.com/profile/13940761640660097335noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1390522204525900538.post-50215403237982577482010-07-09T23:08:31.290-07:002010-07-09T23:08:31.290-07:00hellow baby Sally,kama sikosei huyo anaitwa nungun...hellow baby Sally,kama sikosei huyo anaitwa nungunungu kwa kiswahili na poccupine kwa english na miba yake hutumika kama sindani ya kushonea mikeke na kofia.<br />ni mimi MKWEO.say Hi to your mom.Love you all.Anonymousnoreply@blogger.com