check out the ostrich,i was fascinated by the neck,its sooooo looooonnnnggggg!!!

im not sure the name of this bird,but its lovely

The yummy food that we had, nice nyama

mummy,Mshai and I

oops sorry you have to tilt ur head to see this picture of Mshai and her schoolmate

hej sally rose, nimefurahi kukuona tena hapa. Huko tegeta ni karibu na wapi? nataka nimepeleke mwanangu haina haja ya kwenda mikumi. Have a nice weekend dear!!! and God bless you always.
ReplyDeleteyani sijui nikuelezee kivipi itabidi niende tena uko na mummy alafu tukirudi ndo niwe na ramani kamili kabisa niwape muweze kwenda maana najua watoto kama mimi ata wazazi watafurai sana.
ReplyDeleteukitaka kufika hapo mahala pita barabara ya bagamoyo road mpaka ufike tegeta kibaoni. Ukifika hapo endelea mbele kidogo mkono wako wakulia utaona kibao cha kuelekeza huko. ingia na hiyo barabara utafika. Mawasiliano yao ni haya Tegeta Aivifauna Farm Ltd.:
ReplyDelete+255 754542921
+255 713533376
asante sana mdao hapo juu kwa hizi directions kwakweli mamy wangu azingeweza kuelekeza umemsaidia sana nashukuru sana. Ubarikiwe.
ReplyDelete