Friday, April 30, 2010

The lecturers and deans and Vice chancellor walking in
grandpa and grandma

mommy and I


6 comments:

 1. kwani we mtoto huna baba? maana kutwa na mama yako na mauncles na aunties abab je yuwapi?

  ReplyDelete
 2. ukifikiria kwenye akili yako, kuna mtoto duniani ambae hana baba? nathani wewe unanijua vizuri sana ila unataka tuu kuleta roho mbaya,hii blog sio ya mambo hayo, ukiangalia picha kama huna zuri la kusema naomba usiseme kabisa. samahani kama nitakua nimekukwaza ila sijapenda swali lako maana najua unanijua sana.

  ReplyDelete
 3. Anony May 2, 2010 8:12 AM acha utoto ina maana hujasoma maelezo ya mtoto kwenye home page,inaonekana una visa na viwu kwa Mama Sallyrose,kamfuate umwambia hapa sio mahali pake.Una ugojwa wa akili tafuta matibabu.

  ReplyDelete
 4. asante sana kwa kumkumbusha aangalie na asome home page atazikuta habari za huyo baba anaemtaka.alafu pia,kwani yeye inamkera nini kua Sallyrose yupo na uncles na aunties? yani watu wengine wanaroho mbaya mimi sijawai kuona,mpaka kwa mtoto mdogo kama Sallyrose? im very disappointed.

  ReplyDelete
 5. Mama Sallyrose sio wana roho mbaya kwa mtoto ni wanawivu kwako unavyojitahidi na maisha,usiwajali kabisa muachie Mungu atawaadhibu kwani malipo ni hapa hapa duniani.

  ReplyDelete
 6. jamani mie simjui huyo mama saly rose wala nani nimeuliza tuu kwa sababu sijaona lolote kuhusu baba, any way samahanini kwa kuwaudhi jamani msiniue kwa maneno

  ReplyDelete