Friday, April 30, 2010

On the plane back to Gaborone from Francistown, i was all over the plane..
Aunty Martha with my cousin Salome and I when we had jus arrived at the airport.

Uncle Sam,his daughter Salome and Mommy and I, just getting ready to leave for the airport


12 comments:

 1. cute mama & cute bby. love u both. James roho aiumi kuona mtoto alivyo mzuri hivi?

  ReplyDelete
 2. thank you so much we love you even more because you have been so special to us. as for James Lugembe Sekei the father of Sallyrose, we leave it to God because we believe everththing happens for a good reason.

  ReplyDelete
 3. jaman mama sallrose napenda sana kutembelea hii blog, m very happy of u and ur bby, ur all lookin great tangu nimeisoma hii comment nimesikitika sana kwani what happen my dear, need to know japo nipate idea, ila unajitahid sana kumlea mwanao katika standard life, congrats, dad sallrose uko wap mtoto ni mcute sana hata mama yake pia.

  ReplyDelete
 4. thank you my dear sister, nashukuru kwa comment yako na kwa kua unatembelea blog ya mwanangu.nashukuru pia kama unaona jinsi gani najitahidi mwenyewe na mwanangu, ni Mungu ananisaidia pia.

  Baba Sallyrose ni James Peter Lugembe Sekei, ukweli ni kwamba alimkataa mwanae tangu tumboni ila mimi niliamua nizae.kakataa kumtunza kwahiyo namtunza tu mwenyewe, hii sio siri and i am proud of it.najua kuna wadada wengine wametendwa kama mimi ndo maana sifichi kuongea ivi ila watu wengine wanaonaga nisiseme.lakini hii ndio dunia tunayo ishi.

  ReplyDelete
 5. very sad my luv, ila dont worry god is able thats why unamanage kumlea mwanao, ila one day he will regreat am telling u, anakataa mtoto tena cute baby like sally rose! while people they are looking for kids wanamaliza madaktari kwakutafuta watoto, anyway nimeumia sana. pls be strong namungu atazidi kukubarik wewe na ma cute baby, and she will be somebody oneday, omba kwaiman yako na mungu atasikia, what if ungepanic ukafanya abortion, james god will pay u, watch out!

  mama sallyrose ww ni mcute no matter what, hata kama nikuolewa utaolewa kama ukitaka pia nimekupenda cause ur open,ila usimsahau mwanao kwa kila kitu pls, she is ur everything, give her gud time as much as u can. ciao

  ReplyDelete
 6. Jamani Mama Sallyrose nimesikitika kweli mtoto mzuri hivyo amekataliwa na baba yake nimetokea kumpenda kweli mungu atakupa nguvu na uwezo wa kumuangalia usijali wanaume wapo wengi wakati mzuri ukifika mungu atakupatia aliyekupangia.James hana hata aibu duniani kuna mambo makubwa.Ipo siku atakuja kukulilia mtoto wake malipo ni hapa hapa Duniani.

  ReplyDelete
 7. Asanteni my ladies, i am grateful sana kwenu, hapa duniani kuna mambo mengi ila inabidi tusamehe ili tusonge mbele. Cha msingi ni kumtanguliza Mungu kwenye maisha yetu.

  nawashukuru sana kwa upendo wenu Mungu awabariki sana.tunawapenda sana mimi na mwanangu

  ReplyDelete
 8. Pole my dearmama sally rose kiukweli machozi yamenitoka baada ya kuona un courage ya kueleza ukweli kiasi hiki. binafsi yangu ni single parent hata mimi nilikataliwa kuanzia mimba na ninavyokwambia mtoto wangu she turns 6years baba yake yupo pale Kinondoni hajui ada ya shule ya mtoto kala nini wala kavaa nini. Hii ni dunia na sote tunapita kama ulivyosema muhimu ni kumtanguliza Mungu yote yanawezekana, Kula jambo linatokea kwa sababu maalum, Well am proud of my daughter nitamleta marrybrown siku moja aje amuone Sally rose

  Lets close our fingers and keep on moving everything is possible

  Godd bless you and every single parents

  Helen ( mama Gabriela Karen)

  ReplyDelete
 9. Hi Mama Gabriela Karen, asante sana for your words of encouragement,mtu kama wewe unanifanya nafarijika sana,tena nikupongeze wewe mwenzangu maana umefika mbali sana, naomba jamani uje marrybrown tuonane ili Gabriela amuone na wacheze na mwanangu. mimi napenda sana making friends.

  ReplyDelete
 10. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 11. very sorry my dear , wala usijali yatasemmwa mengi but move on. nothing is impossible as long as we live. hi to sallyrose. regards mama danny

  ReplyDelete
 12. hongera shost wangu wamama kama wewe wachache nakupa hongera umeweza kumlea mwanao sio km wengine mpaka mwanaume awepo ndio mtoto akuwe wala usihofu atakuwa as long as love is around u nothing will go wrong......mshukuru mungu kwa kila jambo pia kumbuka likuepukanawe lina heri nawe kuondoka kwake ukute mungu kakuepusha na mengi my dia....(Mama Alma)

  ReplyDelete