Thursday, August 19, 2010

thats mummy and aunty Mariam, thank you aunty Mariam for all your love, you are so sweet and i love you so much, THANK YOU FOR LOVING ME JUST AS I AM.
for those of you who dont know my mom, this is her!!! she is world's number 1 mum!! mwaaaaahhh!! i love her too much.

me and Owami posing for pictures


while Owami posed for a picture,i read a bookme and my new friend at Marrybrown, she just loved me and followed me everywhere i went. she was so sweet.
8 comments:

 1. Mama Sallyrose umependeza mwenyeweeeeee.Mwaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 2. umependeza sana Ade. una rangi nzuri sana.

  ReplyDelete
 3. baby sallyrose ur mum mzuri,amependeza..

  ReplyDelete
 4. asante sana mdau kwa comment nzuri,inapendeza sana ukisifiwa na mwanamke mwenzio. Ubarikiwe ndugu.

  ReplyDelete
 5. asante sana aunty Lizzy nashukuru sana. mummy wangu anapendeza sababu anaupendo sana yey!!! nampenda sana mummy wangu kanipa na uzuri wake pia lakini watu wanasema mie mzuri kupita yeye! hahaha!!
  love you so much aunty Lizzy....

  ReplyDelete
 6. mama sallrose wewe ni mzuri sana hata ukivaa gunia wapendeza!!mimi napenda sana kutembelea hapa lakini leo ni mara yangu ya 1 kucoment,pia una mtt mzuri na mchangamfu sana.wanagu pia wapenda kutembelea hapa kwani mambo ya humo siya wakubwa ninawaruhusu tuu.

  wakupendao, Rachel family.

  ReplyDelete
 7. asante sana Rachel family kwa comment nzuri kwa siku hii ya leo ya ijumaa, imeniburudisha sana na kunipa raha. ningependa sana nionane na wanao pia ili wacheze na mwanangu, au ata wakutane Marrybrown au sehemu yoyote watoto wanaweza cheza.
  love you so much....

  ReplyDelete
 8. Thanks mama Sallyrose kwa kupenda kujumuika nasi!nasi tumefurahi sana,lakini kwa sasa hatupo Tz lakini tukija tutawasiliana tuu,tusalimie sana mpendwa wetu Sallyrose.
  Mungu awabari kwa kila jema.

  with love from Rachel`s Family.

  ReplyDelete