kiukweli kutoka moyoni nampenda uyu mtoto na mom wake ,yani mtoto anakula raha na ku enjoy jamani wakina dada ambao mnawatoto igeni mfano huwo wakuwa karibu na watoto wenu ,sio mnajikumbuka nyie tu viwanja ataamjulikani kama mna watoto au vipi,love u sallyrose,mshukuru mungu kwa kukupa mama mwenye mapenzi na wewe,its me ur aunt hellen robert
jamani my dear sister Hellen asante sana kwa message yako nzuri im so touched my dear kama umetambua hilo jamani, i am tearing already. i cant wait to see you soon. love you more my dear sister
I live with my mom in Mbezi, Dar es Salaam. I spend most of my time at home during the week coz my mom goes to work, but on weekends mum takes me round and i love it when she takes me to Marrybrown to play with other children on the swing.I'll tell you about my dad later... watch this space.
Jamani Sallyrose umetoka mwaaaaaaaa nakupenda sana.
ReplyDeleteasante aunty, ata mie nakupenda sana.
ReplyDeletekiukweli kutoka moyoni nampenda uyu mtoto na mom wake ,yani mtoto anakula raha na ku enjoy jamani wakina dada ambao mnawatoto igeni mfano huwo wakuwa karibu na watoto wenu ,sio mnajikumbuka nyie tu viwanja ataamjulikani kama mna watoto au vipi,love u sallyrose,mshukuru mungu kwa kukupa mama mwenye mapenzi na wewe,its me ur aunt hellen robert
ReplyDeletejamani my dear sister Hellen asante sana kwa message yako nzuri im so touched my dear kama umetambua hilo jamani, i am tearing already. i cant wait to see you soon. love you more my dear sister
ReplyDeletehongera sn dada kwa kumlea mtoto wako vema
ReplyDeleteasante sana namshukuru Mungu kwa kunipa uwezo huu angalau mwanangu anapata mahitaji ya muhimu.
ReplyDelete