Thursday, May 13, 2010

my cousin Salome at home
Mummy feeding me the day we arrived

mummy preparing a meal for me the day we arrived


13 comments:

 1. Jamani nampenda mtoto wako sijui kwanini kila nikimtizama roho yangu inatulia.

  ReplyDelete
 2. Ni mtoto mzuri sana sana. Huchoki kumwangalia.

  ReplyDelete
 3. Love u sallyrose & ur mama. we ni mzuri sana na una mama mzuri mno. natamani kuwa rafiki yako na mama yako. mimi bby boy mmepishana kidogo. Naomba mungu anijalie anipe pia bby girl mzuri kama wewe.
  jAMES, nakufahamu vizuri kwa ulichomtenda Sallyrose na mamake najisikia kichefuchefu nikikuona. Shame on u. ndio nyie bila aibu mtoto akikua bila ya aibu unaenda kusema mi ndio baba yako. wakati ulimkataa toka tumboni.

  ReplyDelete
 4. helo baby sallyrose,jamani wewe ni mzuri,hope tabasamu lako ni aman kwa ur sweet Mum.ila nimejisikia vibaya kuona comment ya Anonymus wa may 14,2010 4:18AM,amecomment kuhusu James,alivyoongea nimeisi ni dady wako,if real amefanya hvyo,basi fimbo ya Mungu imguse,na nafsi yake imsute,mimi still dada sina hata mtoto,na nimeumizwa sana na hyo story,kip n pray mamii

  ReplyDelete
 5. Pole sana mama Saly rose kumbe ndio maana nilipouliza kuhusu baba wa huyu mtoto ulitaka kuniua, pole mammy sikujua any of this jamani pole sana najuta kukukumbusha machungu nisamehe bure mama sally, sikujua any thing... ila naamini huyo baba Wallahi Mungu atamuonyesha ukali wake maana hajui Mungu ni mkali kiasi gani, anaringia puimzi aliokopeswha na Mungu we ngoja kibao kigeuke... mijibaba ya hivyo inanibore mimi... Narudia tena samahani sana na sitaskaa niulize tena swali kama hilo kama sijajua chochote

  ReplyDelete
 6. jamani, i am touched by all ur sweet comments, hapa machozi yananitoka kabisa mie mwenzenu. i am so glad nikipata positive comments positive kama izi maana najitahidi sana kumlea mwanangu baada yakutendwa ila Mwenyezi Mungu ni mkubwa mimi nimesha samehe ila itakua ngumu kusahau.

  leo nimefarijika sana jamani kuona izi comments zote.

  anonymous wa MAY 16, 2010 time 10:11am, wala usijali nimekuelewa kabisa hukujua story yangu na kua comment yako hukuisema kwa ubaya ni sisi tulikuelewa vibaya, kwahio usijali mpenzi wangu.

  baby boy wa May 14,2010 4:18am, karibu marrybrown pale Masaki uonane na Sallyrose na mimi nionane na Mummy wako tuwe marafiki.

  ReplyDelete
 7. Mungu ni mwema mamii,mkabizi baby sallyrose mikononi mwake,yeye ni zaidi ya baba(hawa wa dunia),it me anonymous wa may 15 2010 4:01AM..

  ReplyDelete
 8. Mungu ni mwema mamii,mkabizi baby sallyrose mikononi mwake,yeye ni zaidi ya baba(hawa wa dunia),it me anonymous wa may 15 2010 4:01AM..

  ReplyDelete
 9. Mungu ni mwema mamii,mkabizi baby sallyrose mikononi mwake,yeye ni zaidi ya baba(hawa wa dunia),it me anonymous wa may 15 2010 4:01AM..

  ReplyDelete
 10. Mama Sallyrose pole sana kwa masaibu haya but let me tell that hauko peke yako, mshukuru Mungu kwa kuwa umeweza kusimama mwenyewe na kumove mi mwenzio ya kwangu yalikuwa makubwa zaidi na always Mungu ni mkubwa na ana nia njema kwa kila mja wake.

  Mimi nikianza kukupa ya kwangu utasema bora wewe, bt Mungu ni mwema sana kwa kweli kwani nimeweza kukaa mwenyewe na kumlea mwanangu hadi sasa kafika miaka sita na tayari kishaanza STD 1. Najitahidi kwa kila hali I thanks God at all.


  Naomba kila siku Mungu anikuzie mwanangu awe mwenye hekima najitahidi sana kumlea katika maadili.

  mama Sally rose la muhimu ni kujipa moyo na kumove kwani mlango mmoja ukifungwa mwingine utafunguliwa

  Love you all

  Mummy Gabriela Karen

  Ila muhimu ni kuwa

  ReplyDelete
 11. I am so happy jamani nikipata comments kutoka kwa kina dada na kina mama wenzangu. yani mimi nawaombea kwa Mungu muendelee kua ivo.

  kwa mama Gabriea Karen, Mungu aendelee kukupa moyo na nguvu na uwezo wakumlea mwenetu. Ni ngumu sana na bila uwezo na uwepo wa Mungu sisi kama binadama hatuwezi. nimefurai kwamba umeona ni vyema ukaniambia yakwako pia, sisi wakina dada mara nyingi sana tunachambana na kuoneana wivu ila tukifarijiana kama ivo kwakweli ni jambo jema sana.

  Mungu awabariki wote na watoto wenu.

  nawapenda sana ndugu zangu.

  ReplyDelete
 12. Bridget(Mama Tina - Arusha)May 26, 2010 at 5:52 AM

  Ndio maana nakupenda sana we na sallyrose sikujua kwa nn kumbe we are the same victim???? MM naamini malipo ni hapahapa mumy tuwaite (WAHAPA HAPA) hahahahahaha cheka kidogo love u Sallyrose na Mumy kiss kiss kiss

  ReplyDelete
 13. shkamo Mama Tina,yani umetuchekesha mimi na mummy wangu sana, tumelikubali hilo jina la WAHAPA HAPA,kwasababu ni ukweli kabisa. ila Mungu ni mkubwa always. i hope nitakuona nikija Arusha in December.

  ReplyDelete