Wednesday, May 26, 2010

look at the other children looking so lovely
still getting down

owami n I dancing


sipping some juice at the bday party32 comments:

 1. jamani baby sallyrose,picha leo nyingi, nzuri,nimefurahi,asante kwa ur mum..unajua kudance..cute baby

  ReplyDelete
 2. thank you so much aunty Lizzy, i will pass ur message to my mummy she will be so happy. so when are you coming to play with me at Marrybrown?

  ReplyDelete
 3. ooh!i make it for u this sunday,so tel me at wat tym,utakuwa pale?i'll be so happy to c u baby Sallyrose..

  ReplyDelete
 4. mummy said she will take me there early this sunday around 2pm until 4pm coz she has a kitchen party she will be going to.i am so excited about seeing you aunty Lizzy i hope i wont cry when i see you coz i usually cry sometimes when i meet friends for the first time.

  ReplyDelete
 5. Hellow baby sallyrose,hope Mum amekupeleka church leo,c u bdae at merbrw,hope u wont cry,i promise to be gud friend n also Aunt.

  ReplyDelete
 6. Hellow baby sallyrose,hope Mum amekupeleka church leo,c u bdae at merbrw,hope u wont cry,i promise to be gud friend n also Aunt.

  ReplyDelete
 7. shkamo aunty Lizzy, mummy alinipeleka mimi kanisani asubui and mchana tulienda Marrybrown, mbona sikukuoa jamani, tena nilikua nakusubiri sana. tuliondoka marrybrown saa kumi na nusu.

  ReplyDelete
 8. Maharaba ma swt sallyrose,oh,dat gud sound if Mum take to church,even me i was der bt its was ma first tym kuingia pale,i found alot of swtbabe lyk u wit there mum n c*,havin fun,nikagungua y u lyk to go marrybrow, it was around saa kumi ckujua were to start,nikajickia bored n nikaamua kurudi om..i fil so bad ckukuona ma Angel..

  ReplyDelete
 9. jamani aunt Lizzy,mummy wangu alikua amekaa anaangalia kila mtu akifikiri ndo wewe wakati mimi nilikua nacheza na rafiki yangu Owami, sasa namba ya mummy wangu ni 0755744609,please nitakuepo pale jmosi mchana kuanzia saa 11, jpili nitakua funkys masaki ni bday yangu nafikisha miaka 2 na mummy ananifanyia bday.

  ReplyDelete
 10. ok ma swt i gt t,n i'll contact wit ur swt Mum,n hope this tym nitakuona mamii,nafurahi kuckia unafikisha miaka2,nakuombea Mungu akulinde uwe mkubwa zaidi na zaidi..i wish al the best ma ANGEL..

  ReplyDelete
 11. Mi unanikosha na hizo pozi zako tu. Jamani Mungu akuweke, utakuja kuwa miss Rose in the future.

  Kama nifanye booking kabisa nianze kuhudumia kwa ajili ya my baby boy
  1
  mwah mwah mwah.

  ReplyDelete
 12. aunty Lizzy, my mummy said i wont go to marrybrown on saturday because yeye ana harusi ambapo atakua MC na amepigiwa simu jana kuhusu hiyo harusi so im sorry itabidi tufanye next weekend. asante sana kwa kuniombea mema.

  ReplyDelete
 13. asante sana aunty Tweety kwa hizo sifa zote umenipa,fanya booking kwa mummy wangu nathani atafurahi sana. hahaha

  ReplyDelete
 14. Hellow baby sallyrose,hope ur doin gud na ur swt mum pia,its oky,let mum go kwenye sherehe,we shall met next weekend,hope God atatupa uzima..av a nc weekend..

  ReplyDelete
 15. Happy birthday Sallyrose.lizzy

  ReplyDelete
 16. happy birthday sallyrose. mungu akupe miaka mingi zaidi. ukue mkubwa mtunze mamy wako kama yeye anavyokutunza. love u

  ReplyDelete
 17. Happy Birthday my Darling Sallyrose

  ReplyDelete
 18. My Darling Sallyrose nimeongea na mum atakupa salam zangu.Luv u

  ReplyDelete
 19. Jamani mum Sallyrose tunasubiri picha kwa hamu.

  ReplyDelete
 20. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 21. Mungu amekujalia umepata mtoto mzuri, mtoto ana rangi. Achana na hao wanaokuonea wivu maana hawakupata bahati kuwa na mtoto mzuri kama wako na. Ndio maana amejitahidi juu chini ili apate mtoto mweupe angalau.Hongera nakusifu sana unavyojitahidi kulea mtoto wako acha waeme tu kwamba mtoto hana baba na wakati hata yeye mtoto wa kwanza hakuzaa kwenye ndoa.

  ReplyDelete
 22. Tafadhalini hii blog ni ya Sallyrose msiingize mambo ya ugomvi pelekeni kwenye ugomvi.

  ReplyDelete
 23. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 24. plz jamani mambo ya maogomvi,mcweke huku kwa mtoto,she z very inoccent..hope aelewi chochote..

  ReplyDelete
 25. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 26. Jamani embu muwe wastaarabu,huyu dada amesema hii blog ni ya mtoto embu msilete mambo ya uturn humu,jaribuni kukua mnataka aseme kitu mrudishe uturn,pls kuweni wastaarabu.

  ReplyDelete
 27. Hebu msilete ugomvi kwa huyu mtoto kwanza huyo mama u turn hana akili kabisa kuruhu comments za kumsema mtoto asiyekuwa na hatia kwenye blog yake.Hivyo yule mtoto wa kwanza alizaa kwenye ndoa? Kwanza mtoto sura imemkomaa utafikiri dume vile kwanza yule mtoto utafikiri hakumzaa yeye vile ndio maana huwa anajisikia aibu hata kumuweka kwenye blog yake.Halafu ukimwambia ukweli kuhusu mwanae hata haweki comments kazi kumsema mtoto wa mwenzie.Halafu yule kwanza ndio mkorofi kagombana na watu kibao hapa mjini halafu leo anajikosha kwenye blog yake.Ade sawa sawa ulivyomfanyia kama angehurumia mimba yake wala asingekuwa wa kwanza kurusha mkono juu yako.

  ReplyDelete
 28. Hatuhitaji maneno humu,Badilikeni

  ReplyDelete
 29. Mama Sallyrose vipi picha za Birthday ya mwanetu?

  ReplyDelete
 30. Wow, nilikuwa simjui huyu mtoto but she is so cute and lovely! She looks mwaah in her blog foto! Sam pipo are soo bad!

  Happy belated baby Sallyrose, may you live to blow 101 candles, and become more cute as you grow!

  ReplyDelete
 31. nawaletea picha za bday this week lazima i promise!!!

  ReplyDelete
 32. Watu wanaosema watoto wabaya ni wale ambao hawajawahi kuzaa lakini hakuna mtoto mbaya na mzuri kwani ni nyinyi mnayaona hayo watoto wao wote wanaona wako sawa. Tafadhani acheni kuseme eti mtoto wa fulani mbaya, mnaingilia kazi ya uumbaji nyie mnaweza kuumba hata sisimizi? Mimi huyo mtoto simjui lakini sijawahi ona mtoto mdogo ambae ni mbaya.

  Wenyewe watoto hawabaguani waacheni.

  ReplyDelete