Sunday, June 13, 2010

SALLYROSE'S 2ND BIRTHDAY

yummy food,we had chicken and chips
we also had boerwors

6 comments:

 1. yap! mama sally hapo ndio ninapokupendea. achana na wenye midomo michafu kama vyoo vya city. life goes on!!!!!!!!
  love u sally & ur mama.

  ma dear nilikutumia comment ndefu sana mda si mrefu i hope umeisoma, ingawa sijaiona kwenye comments

  ReplyDelete
 2. ooh!tanx baby sallyrose kwa picha,nilikuwa nasubiri kwa hamu,jamani ulipendeza,hpe mlienjoy vyakutosha,tnx to ur mum..

  ReplyDelete
 3. hellow mama sally rose,nimefurahi sana kuona picha za mwanetu,ni mara yangu ya kwanza kucomenti,ila ni mtembeleaji mzuri sana wa hapa.pia napenda kukwambia kuwa pole kwa yote yaliyokukuta.muachie god kila kitu,kuna kina sisi ambao hatukujui lakini tunakupenda sana tuu.hivyo kuwa happy.mungu amlinde mtoto wetu,amuepushe na mabaya yote ulimwenguni.
  ni mimi mkwe wa mwanao.maana nina mmaboy matupu.

  ReplyDelete
 4. HAPPY 2nd BIRTHDAY SALLYROSE!!!! YOUR PARTY ROCK!! YOU ARE SO CUTE LIKE YOUR MOM, GOD BLESS YOU SWETIE!!!

  ReplyDelete
 5. Adelina i like the way you throw baby's parties, you rock girl, keep it up,congratulation on raising baby Sallyrose, she is so cute i just want to hug her.

  ReplyDelete
 6. wow!! asanteni sana for the nice comments you have sent. Sallyrose will be very happy to read these comments 10 years from today.we love you all because you make our lives happy.

  ReplyDelete