Monday, June 14, 2010

Dada Esther having a taste too...
my cousin Jonathan

my other friend Mshai tasting my cake


my friend Georgia


Aunty Kisa having a taste
5 comments:

 1. watu mna dhambi, mlikuwa mnasema ooh! sijui party mbaya, sijui anajifanya ana hela. Ade, party ilikuwa nzuri ile mbaya. naona watoto wali enjoy sana. mliotaka mnunuliwe chakula, si hao watoto wenu wamekula chakula cha funkys, na bday ni ya mtoto. Ovyoo!!! mnamwonea adeline na mwanae wivu

  ReplyDelete
 2. jamani Sallyrose mzuri, dadaangu hapo sasa sijui ufuge simba maana sasa hv wataanza kumpigia misele(just kiddin!!! but the party was so nice!!

  ReplyDelete
 3. asanteni sana kwa comments zenu,kwakweli watoto wali enjoy sana na walikula na kucheza sana. namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kukamilisha hiyo shughuli ya bday kwa ajili ya mwanangu.

  natamani pia watu wangejua kua mimi sifanyi kitu kwa show ila nafanya ili mwanangu afurai na ajue jinsi gani ninavyompenda.nawapenda sana.

  ReplyDelete
 4. Mama Sallyrose tunaelewa hufanyi show yote hayo ni mapenzi ya Mama kwa mtoto Unajitahidi sana sio wote wenye bahati ya kuweza kama wewe, Mshukuru Mungu kwa kila jambo.Sali sana akuepushe na majanga ya hii dunia.Rafiki wa Sallyrose.

  ReplyDelete
 5. asante sana kwa ujumbe wako, na nina furai sana kujua kua kuna watu kama wewe unaeelewa kuhusu mapenzi ya mama kwa mtoto wake,maana kwakweli mmmhhhh!!! nampenda huyu mtoto jamani sijui nisemeje jamani.

  tena nikiona comments zenu nazidi kupata furaha. much love

  ReplyDelete