Hi mamy Sallyrose jamani mwano mzuri nimempenda i wish ningeenza kuwekeza hapa! Anyway the pary was gus i like it kwani hebu niambie huko Funky ndio wapi na garama zake ni shilingi ngapi one off this day ningependa nijumuike na wanangu huko kwenye bday Tks.
Funky's ipo Masaki kama unaelekea ile shoppers plaza mpya ukifika pale petrol station upande wa kushoto kuna shrijee supermarket pia,funkys ipo nyuma ya hiyo petrol station hapo. ukienda huko unaweza kupata bei nzuri tuu inategemea na namba ya watu unategemea kualika. Tshs 12,000 per child is the minimum you will get.
Ade, hivi hapo funky's iko kwa ajili ya party tu au naweza peleka mwanangu kucheza? wenzio sie washamba ila natamani siku moja nimpeleke mtoto wangu, Je! kuna kiingilio? Najua nakusumbua nisamehe ma dear. Love u & sally
Funkys ni sehemu ya watoto kucheza kama marrybrown, unalipia Tshs 5,000 kwa kila mtoto kucheza. ni sehemu nzuri ya kuleta watoto wacheze mie napenda kumpeleka mwanangu.
I live with my mom in Mbezi, Dar es Salaam. I spend most of my time at home during the week coz my mom goes to work, but on weekends mum takes me round and i love it when she takes me to Marrybrown to play with other children on the swing.I'll tell you about my dad later... watch this space.
Hi mamy Sallyrose jamani mwano mzuri nimempenda i wish ningeenza kuwekeza hapa!
ReplyDeleteAnyway the pary was gus i like it kwani hebu niambie huko Funky ndio wapi na garama zake ni shilingi ngapi one off this day ningependa nijumuike na wanangu huko kwenye bday Tks.
Mamy Jesca
Funky's ipo Masaki kama unaelekea ile shoppers plaza mpya ukifika pale petrol station upande wa kushoto kuna shrijee supermarket pia,funkys ipo nyuma ya hiyo petrol station hapo.
ReplyDeleteukienda huko unaweza kupata bei nzuri tuu inategemea na namba ya watu unategemea kualika. Tshs 12,000 per child is the minimum you will get.
Ade, hivi hapo funky's iko kwa ajili ya party tu au naweza peleka mwanangu kucheza? wenzio sie washamba ila natamani siku moja nimpeleke mtoto wangu, Je! kuna kiingilio? Najua nakusumbua nisamehe ma dear. Love u & sally
ReplyDeleteFunkys ni sehemu ya watoto kucheza kama marrybrown, unalipia Tshs 5,000 kwa kila mtoto kucheza. ni sehemu nzuri ya kuleta watoto wacheze mie napenda kumpeleka mwanangu.
ReplyDelete