Tuesday, June 15, 2010

MY 2ND BIRTHDAY PARTY @ FUNKY'S IN MASAKI

my party banner,can you see my picture on it!!!
Thank you Lord for making me so beautiful

Me being me


My dear mummy and I49 comments:

 1. Sally wewe ni mzuri sanaaaa. umefanana na mamy kidogo na dady kidogo. love u

  ReplyDelete
 2. JAMES mimi bado ugomvi wangu uko na wewe. we mwanaume, uoni aibu mtoto wako hakufahamu hata siku moja. ebu acha ujinga na utoto, kamwombe Ade msamaha ili uwe unaenda salimia mtoto. Acha kusikiliza maneno ya watu, usiporekebisha sasa ipo siku utayakumbuka maneno yangu. Sikwambii upeleke mtoto kwa Linda, hapana wewe mwenyewe nafsi ikusute, ni nzuri kuwa na uhusiano mzuri na mwanao. Nakuchukia sanaaa,

  ReplyDelete
 3. Mama Sallyrose asante sana kwa picha sipati hata neno la kumaanisha shukrani,Nikipata muda nitakupigia,Ubarikiwe sana na my sweet Sallyrose.

  ReplyDelete
 4. What a beautiful kid!

  ReplyDelete
 5. jaman kanavyozidi kkuwa na ndivyo kanavyozidi kuwa kaswt,picha nzuri mpka raha.Happy Childrens day baby Sallyrose..

  ReplyDelete
 6. Hee?Jamani i wish mtot mzuri hadi raha acha wenye roho zao mbaya wamseme tu mbona wa kwao hatuwaoni?

  ReplyDelete
 7. mtoto mzuri sana, mungu amlinde kwakweli, maana nimeona kwenye blog flan wanamponda sana huyu mtoto eti hana baba sijui nini,
  lkn jamani watu wana roho mbaya duh
  mama sallyrose mungu akupe moyo wa iman
  achana na vishankupe!
  lov u baby mwa mwa mwahhhh!
  Anna hapa frm dar

  ReplyDelete
 8. Sallyrose, you are an Angel!!!

  ReplyDelete
 9. sallyrose ni mzuri sana.hongera mama unampenda sana mwanao. Baba atajiju huko aliko roho inampasuka. Wenye wivu wajinyonge cha mwenzio kikiwa kizuri kisifie

  ReplyDelete
 10. Mh!mtoto wa ukweli vibaya mno hongera dada wanasema ana baba mbona tunamuona kasweet baby,wakwao wako wapi,watajbeba!siwana watoto pia wasio na baba zao, hao watoto wako wapi?

  ReplyDelete
 11. asanteni sana kwa comments zenu nzuri, tunazidi kumshukuru Mungu ambae ndo muumbaji na mlinzi wetu.

  ReplyDelete
 12. ade kwanza hongera kwa kulea mtoto unamtoto mzuri mungu akuzidishie, mimi sikujui lakini unaonyesha unampenda mtoto wako, unaonekana ni msichana mzuri tu watu wanaongea mambo mabaya kuhusu wewe, ushauri wangu usiwasikilize endelea na maisha yako mami lea mtoto wako mambo mengine ni yakupita tu.. napenda watu wenye msimamo mzuri na watoto wao kama wewe.

  mdau UK

  ReplyDelete
 13. Mama Sallyrose Hongera kwa malezi mazuri. Mtoto yuko juu kama KOMBE LA DUNIA. Usisikilize ya watu wewe lea mwanao MUNGU atakujalia kheri.

  Mie ni mmoja wapo wa watoto waliosemwa namna hiyo lakini nimekua, MAMA YANGU kanipeleka shule vzr tu na sasa nimeolewa nina kazi nzuri, naweza kusema nina maisha mazuri ninayoya - enjoy. Hivyo naomba nikutuie MOYO kuwa MAVUVUZELA kama hayo usiyasikilize wewe chapa mwendo tu mwisho wa siku KOMBE unalichukuwa wewe wenyewe watabaki wanashangaa tu.@ Sharly.

  ReplyDelete
 14. mama sallyrose ongera kwa kuwa na mtoto mzuri, watu wamemsema vibaya sana huyu lakini mungu ndie muweza wa yote baba kitu gani as long as unaweza kumtake care mwanao vizuri fu... that shit about baba, obama kalelewa bila baba na leo rais hao wenye mababa wako wapi.
  Na wewe mdada ulieachia hizo comments za kumsema vibaya baby sallyrose it means ulikuwa side moja na hao watoa hizo comments kumbuka malipo ni hapahapa duniani na una mimba what do u expect kwa mtoto wako hawezi kuwa na kitovu kikubwa au atakuwa mzuri sana i feel sorry for u coz u dnt know what ua doing.

  loves u baby sallyrose
  mdau
  USA

  ReplyDelete
 15. Hongera adelina, mimi sikujui ila baada ya ile issue nikakutafuta kwenye facebook, nikaona picha zako uko moshi na zingine nafikiri ni amerika nimekupenda na mtoto wako dear, usisikilize ya watu dear kuwa na maisha mazuri sio lazima uolewe na mzungu, ninakaa europe nimeolewa na mzungu, na kila mwaka nikija home tanzania nawatafuta marafiki zangu, basi watu wengine wananishangaa yaania bado unakumbika watu nawaambia kwani cha ajabu ni nini? watu wanaona ukishaolewa na mzungu ndio umemaliza dunia no way. take care dear.

  ReplyDelete
 16. sally rose she is very cute, jambo ni mtoto wa kiafrica haaa!!!!! watajibebaaaaaaaaaaaaa
  kila kiumbe hapa duniani kina baba, ujazaa mwenyewe hata wale wanaopandikizwa mbegu zinatoka kwa mwanaume.Adelina wewe kama mkristo kaataa huo usemi kuwa mwanangu hana baba hiyo ni laana kwa mtoto kemia kwa jina la yesu, baba yake atakuja tu ni shetani ndio kamvuta omba sana, nende buguruni malapa(uliza wapi kwenye yumba ya mabati watu pale wanasali na mambo yanakuwa kwa yesu hakushindikani kitu) kwa mchungaji mmoja anaitwa mzee sallu kuna sala pale.huyo baba mtoto atakuja tu

  ReplyDelete
 17. Uuh mama mkwe alikuwa anaumwa.
  Nimependa sana picha za mkwe wangu.

  Mungu amzidishie Kheri, amuongoze katika kila jema, na mabaya amlinde nayo. Mamy hongera sana, mapenzi ya mama kwa mtoto anajua zaidi Muumba. Kila la kheri.

  Huyo msukuma nakwambia akichanganya na point 5 wa kizungu, kimanyema, na mhangaza itakuwa bomba mbaya.

  ReplyDelete
 18. kweli dada mtoto mzuri saana ana hafya nzuri amependeza saana.nimempenda sana angel wako,kamvaa nice chain na earing braselet wao mtoto wanguvu mbona baba achana nae wanawake wangapi wanalea watoto wao nawanaweza Mungu akuwezeshe mwaya,ringa namwanao dont care about baba thing, mdau sweden.love u guys

  ReplyDelete
 19. Hongera kuwa na binti mrembo.Achana na hao wanaosema mtoto hana baba, kwani kuna mtu asiye na baba hapa duniani?Kwanza jinsi unavyomlea mwanao hata mtu mwenye mume hawezi kulea kama unavyojua kulea. Na wewe wala sio single mama wa kwanza hapa duniani, wapo wamama wengi tu wanaolea watoto wao peke yao na baadaye watoto wanakuja kuwa na mafanikio makubwa tu.Kwanza kuna wengine wapo kwenye ndoa jina tu lakini wala sio ndoa ni mvurugano tu.Na wengine ndio kama hivyo kaolewa lakini yeye mashariki mume magharibi kuja kuonana kila baada ya miezi kadhaa, mume anakuja kupata kipozeo na kuondoka zake.

  ReplyDelete
 20. jamani asanteni sana kwa maoni yenu namshukuru Mungu sana.nawapenda sana wote kwa upendo mnaotuonyesha mimi na mtoto wangu Sallyrose. nafarijika sanaaaaa jamani.

  ReplyDelete
 21. Adelina Dear,

  Hongera sana. Sikujui ila kutokana na yaliyoongelewa kwenye blog flani ilibidi nikujua angalau kwa picha. For whatever was said, You are baby is adorable and you are very beautiful. Mshukuru mungu kwa hilo mwanao ndiyo amani yako. Achana na haters!!! Fuata maisha yako.

  Walimwengu ndiyo walivyo and they always think they are perfect. Atleast you are there for your child and it is written everywhere that you care and love her so much. Keep it up and never look down, be stronger and more confident. Hata hivyo ndiyo wamekuweka juu zaidi.

  ReplyDelete
 22. asante sana Rabicca,wow!! ladies like you make me stronger and other ladies who have uplifted me. asante sana.much love to you

  ReplyDelete
 23. Pole dear kwa yote mtoto wako ni mzuri wanaosema sio ni wivu tu , ila nimeiangalia hii blog kuna kitu nataka nikushauri kama nitakukwaza nisamehe , mi nafikiri mlee mtoto wako maisha ya private kama atataka kujulikana ajijulishe mwenyewe akiwa mkubwa ,watu tuko tofauti kama wewe unapenda exposed life wengine hawapendi , namwanao vile vile usimchagulie , najua unampenda mwanao ,na haswa alivyokataliwa na baba yake of course upendo lazima unazidi , ila , angalia sana usije ukampenda kupitiliza mpaka ukamuharibu . my wish Nihuyu mtoto Awe somebody Baadae Ambaye utakuwa proud naye , Najua kwa upande mwingine unataka kumuonyesha baba kwamba unaweza,ilasikufichi zingatia malezi bora zaidi kuliko material things Someday ,babake atarudi tu , na kukubali , hamna mtoto hana baba . Usishindane na walimwengu utashindana na wangapi ?? Mi ni hayo dear ,wish all the best.

  ReplyDelete
 24. Adelina, ndugu yangu mungu ndio wa kila jambo katika hii dunia muombe na kumtumaini tu, utashinda na ujafa ujaumbika binadamu mama mashauzi asubiri tu hapa ni duniani kama alikuwa na ugomvi na wewe sawa laikini kwanini aliluhusu comment zinazongelea sally rose? kimeniuma sana nikiwa kama mzazi kwani yeye atazaa diamond? watu washamba sasa kuolewa na mzungu ndio nini? leo anaeleza kuhusu father day, mbona hajasema kitu gani kilicho mfanya baba yake ajiue? kama yeye ni jasiri atangaze basi kwani wazungu huo hawafichi kitu sasa yeye siku hizi mzungu koko basi oia aeleza kwa kuwa baba yake alikuwa kila kitu chake je mama yake mbona hakumtaja kwenye mother day mwezi may

  ReplyDelete
 25. Adelina dear, sally rose is she very cute, zidisha mapenzi zaidi kwa mwanao na kuwa na good time nae, kwanza kanaonekanika kama kinakaa ulaya vile kisafi. sasa huyo atakayezaa diamond tumuone watoto baba tofauti dada mtu mweusi mdogo mtu atakuwa half cast ni kama mtu ma baby sitte wake haaa!!

  ReplyDelete
 26. jamani nina amini sasa watu wengi wapo wanampenda mwanangu jamani uwiiiiii!! yani mmetuma comments nyingi sana na zingine nimezibania sababu sitaki kuendeleza ugomvi kwenye hii blog ya mwanangu ila nawashukuru sana for the support naamini yote haya yanapita na yataisha tu.

  Mungu awabariki sana kwa upendo wenu.

  ReplyDelete
 27. Usijali Mama Sallyrose tupo wengi tunaokujali,Mshukuru Mungu kwa kila jambo.

  ReplyDelete
 28. Jamani asante sana, wow!! you people mnafanya maisha yangu na mwanangu yanakua mazuri sana. Mungu ni mwema sana jamani.

  ReplyDelete
 29. your baby adeline she is very cuteee!!!!
  kashaanza shule? maana kimekaa kama kitoto cha masuper star wa marekani vile keep up!!!

  ReplyDelete
 30. asante sana jamani,hajaanza shule bado,nilimuanzisha tulivoenda holiday Botswana ila naona bado mdogo sitaki aamke asubui sana kwenda shule so nasubiri kidogo ila nataka aanze shule.
  jamani asante kwa maoni yako,akiwa mkubwa atafurahi kuona kua amekaa kama mtoto wa masuper star wa marekani. jamani asante sana.

  ReplyDelete
 31. Ooh, Adelina umenichekesha unamuonea huruma baby kuamka asubuhi ni kweli lakini mimi mtoto wangu alianza kuamka asubuhiakiwa na mwaka mmoja nilikuwa nampeleka baby care, mimi naenda shule kipindi hicho na nikaanza na kazi na bado nikawa nampeleka asubuhi yaani ni mateso ndugu lakini nitafanyaje na ndio maisha ya ulaya.

  ReplyDelete
 32. naishi europe nikija holiday nitakutafuta baby sally rose ucheze na mwanangu niwatoe outing.

  ReplyDelete
 33. tena nikaona nina dada wa mtoto wacha tu akae na mtoto nyumbani coz daycare wanaenda kucheza tu,ila najua akiwa uko anafurai kucheza na wenzie,lakini hizo mechi zakuamshana asubui jamani ni kasheshe.hayo maisha ya ulaya jamani mtu unakua hu-na jinsi maana hata nannies wenyewe ni expensive sana,wengine wana charge per hour, its ridiculous. uwiiiiii.

  ReplyDelete
 34. wow aunty,that will be nice for me to play with ur baby, is it a boy or girl? how old is your baby? i love making nw friends so much, i cant wait to meet you both.

  ReplyDelete
 35. she is a girl, 6yrs old but she like very much baby.

  ReplyDelete
 36. ooh ok, thats nice,she is a big girl.

  ReplyDelete
 37. Maisha ya ulaya mungu ndie anayejua,nyumbani kuzuri angalia Sallyrose tabasamu lake nimemuweka kwenye home page yangu nikifungua tu ninae.

  ReplyDelete
 38. kama yeye ni jasiri atangaze basi kwani wazungu huo hawafichi kitu sasa yeye siku hizi mzungu koko basi oia aeleza kwa kuwa baba yake alikuwa kila kitu chake je mama yake mbona hakumtaja kwenye mother day mwezi may


  Makubwaaaaaaaaa!! Kumbe baba yake alijiua.Halafu kweli hapendi kuzungumzia mama yake sijui kwa nini? Nilishangaa mother day hakumtaja mama yake mbona aibu. Hivi nani kama mama hapa duniani halafu mtu ushindwe kumtaja mama yako.Mama mzungu yule ana mambo kweli kweli kufanya kumsifia baba kumbe hana lolote.

  ReplyDelete
 39. I had never commented on this blog.. but i must say this little girl is sooo cute... ghosh! Hongera sana Adeline, God has blessed u with such an angel which u really need to treasure. I wish nipate baby girl whos soo beautiful like urs.. Pray for me dear. Luv u dear and ur baby! Mungu akujalie umkuze na kumlea sawa na mwongozo wake. Amen

  ReplyDelete
 40. asanteni sana jamani,i thank God for the blessing of my daughter.

  Anony June 24,2010 6:51, Mungu ndo anawapa watu watoto na kila mtoto duniani ni mzuri,watoto wanahitaji malezi bora na upendo,mimi naamini upendo ni kila kitu kwa mtoto and thats what i try to give my baby coz luxury za duniani siwezi kumpa zote coz sina uwezo huo ila mapenzi yangu nampa jinsi ninavyotaka mimi na yeye ndo anayapokea na kuonekana ana furaha na afya na kupendeza. kila la kheri. love you too as well.

  ReplyDelete
 41. Mama Sallyrose weka picha nyingine tumuone sweet wetu anaendeleaje?

  ReplyDelete
 42. ok mamy this week ntaweka tena ninazo plenty

  ReplyDelete
 43. Asante sana mpe salam rafiki Sallyrose

  ReplyDelete
 44. Mama Sallyrose umetoa ahadi mbona week inakaribia kuisha?Ni mimi Rafiki wa Sallyrose

  ReplyDelete
 45. sasa mbona hujaweka tena?? au umeanza shule? Ade muombee mwanao zaidi ya unavyomfanyia publicity... nakushauri tu kama mzazi my dear, u can buy my advice or choose not to.

  ReplyDelete
 46. nimempenda sana huyu baby sallyrose despite yote yaliyoongelewa sikupenda alichokifanya mwenye ile blog mi pia ni mama na iliniuma.mungu akutie nguvu mamii ulee mwanao vizuri yeye ndo mpangaji wa yote..keep up your dignity and god bless baby sallyrose..love u all

  ReplyDelete
 47. Sally mbona kimy jamani?

  ReplyDelete
 48. jamani nisameheni kwa kuto timiza ahadi yangu ya picha ila kwa sasa nimewawekea picha kibao na bado ntaleta tena nyingine ili muendelee kuburudika.

  anony July 1,2010 at 1:35am, asante sana kwa ushauri wako kama mzazi, nafanya sana maombi kwa mwanangu coz najua namuhitaji Mungu anisaidie malezi.na pia namfundisha mwanangu kumcha Mungu sana,na ameshaanza kwenda sunday school. asante sana kwa ushauri wako.

  asanteni sana kwa mapenzi yenu na comments zenu nzuri kwakweli zinaniburudissha sana.

  much love

  ReplyDelete