Thursday, July 8, 2010

food time,we were all seated on the dining table eating chips and sausage.
Baby Elma and her dear mummy Chaya

our house was like a play school on this day,it was so much fun

2 comments:

  1. MAMII KWA KWELI HUNIFAHAMU WALA NA MIMI SIKUFAHAMU ZAIDI YA KUFUATILIA SAGA LENU KATIKA MA-BLOGU NDANI YA MITANDAO....KI UKWELI KABISA NIMEINGIA HUMU BAADA YA KUONA COMMENTS AMBAZO WADAU WALIZITOA KTIKA MTANDAO FULANI KATIKA INTERNET...NIMEINGIA HUMU NIKABAKI NASHANGAA...HIVYO NIKAONA NIKUANDIKE MAONI YANGU ILI KUKUTIA MOYO..MIMI NI MAMA WA WATOTO WAWILI...NA KAMA KUNA KITU AMBACHO NINAFAHAMU KINAKUJA NATURALLY MOST OF THE TIMES KWA MZAZI YOYOTE NI ILE KUWA FIERCELY PROTECTIVE KWA MTOTO WAKE...UNAKUWA KAMA SIMBA AMBAYE AMETOKA KUZAA NA HII NI KWA MWANAMKE YOYOTE...PILI NI ILE INSTICT YA MZAZI YOYOTE KUWA NA UCHUNGU NA MTOTO HATA KAMA SIO WAKE NDIO MAANA NIKASHANGAA SASA COMMENTS ZA WATU KATIKA ULE MTANDAO...SIO ZA KI MAMA NA WALA SI ZA KIUANAMKE....JAMBO MOJA TU MAMII INAPASA ULIFAHAMU ILI HAYA YOTE YALIYOTOKEA YASIKUVUNJE MOYO KUWA BINADAMU WENGINE WANATUMIKA NA SHETANI BILA YA WAO KUFAHAMU...HAKUKUWA NA SABABU YA WAO KUMWINGIZA MALAIKA WA MUNGU KATIKA UGOMVI WA WAKUBWA ZAO..HILO WALIPASWA KULIFAHAMU NA NI MUNGU PEKEE NDIE ANAYEWEZA KUWAFAHAMISHA HILO...WEWE USIWE NA MOYO WA KULILIPIA KISASI..MWACHIE MUNGU NDIYE MWENYE KULIPIZA VISASI BADALA YA SISI WANADAMU...PIA KUHUSU HABARI YA PARENTAGE YA HUYO MALAIKA WAKO SALLY...HILO PIA WALA LISIKUVUNJE MOYO...NAKUPA HONGERA KWA VILE AMBAVYO UMEAMUA KU-CHANNEL ALL THAT ENERGY KTK BLOGU HII NZURI YA MWANAO...IT IS A RIGHT MOVE...HUYO MTOTO MWENYEWE ATAKUJA KUWA NA BABA YAKE WAKATI MUNGU UKIFIKA HUWEZI KUJUA KUWA HATA HILO LILILOTOKEA PIA KUNA JMABO KUBWA SANA AMBALO KIMACHO YA KIBINADAMU SIO RAHISI KULIGUNDUA LAKINI IT MAY BE A BLESSING IN DISGUISE...ALL IN ALLL KEEP UP YOUR LOVE FOR YOUR SWEET MALAIKA...SHE IS SO CUTE....AND I CAN SEE YOU ARE NURTURING HER TO BE LOVING TOO......BY THE WAY HICHO KITOVU TARAATIIIIBU KITARUDI CHENYEWE..KAMA ALIVYOKUSHAURI MDAU MMOJA...CHUKUA SHILINGI THEN UIWEKE KATIKA KITOVU NA UFUNGE KWA BANDEJI KILA SIKU TARATIIBU CHENYEWE KITAKUWA KINARUDI NDANI...SIO ULEMAVU WALA...HOLD YOUR HEAD UP HIGH...MSHUKURU MUNGU KWA MALAIKA ALIYEMWEKA KATIKA TUMBO LAKO NA KUKUPA DHAMANA YA KMLEA HAPA DUNIANI...KWANI MWENYEZI MUNGU ALIMJUA KABLA HATA HAJATUNGWA KATIKA TUMBO LAKO...SHE IS SOOO VERY SPECIAL AND SO IS EVERY HUMAN BEING ON THIS EARTH...WHETHER THEY GET APPROVAL IN SOME SOCIAL CIRCLES OR NOT...WE ARE AL;L LOVED THE SAME BABY....THAT IS HOW INCREDIBLE OUR GOD IS.... I LOVE YOU AND YOUR MALAIKA SALLY ROSE...XOXOXO

    ReplyDelete
  2. MAMA JOE, YOU HAVE TOUCHED ME SO MUCH, I READ THIS AND CRIED. YOU HAVE TAKEN YOUR TIME TO WRITE TO ME AND YOU DONT EVEN KNOW ME, YOU HAVE BLESSED ME SO MUCH AND I WOULD LOVE TO MEET YOU PERSONALLY. YOU ARE SO SPECIAL TO ME AND MY BABY, IT TAKES TRUE LOVE AND CARE TO WRITE SO MUCH TO SOMEONE YOU DONT KNOW.

    GOD WILL BLESS YOU SO MUCH BECAUSE OF YOUR LOVE,YANI SINA LA KUSEMA MAANA UMENIGUSA MNO. YANI WATU WENGI WAMENIANDIKIA THRU THIS BLOG AND I REALLY THANK GOD FOR RESTORING MY JOY AND PEACE. MUNGU NDIO ATAKAE WABARIKI JAMANI.MIMI NASHINDWA ATA YAKUANDIKA.

    LOVE YOU MORE AND I HOPE TO MEET YOU SOMETIME MAMA JO, MY NUMBER IS 0755744609!!

    ReplyDelete