Thursday, July 29, 2010

Owami and I busy playing with baloons,they are so much fun
Owami and I opening our gifts

Schola got many presents,these were some of them


i thought this boy's hairstyle was coolmy friend Owami met someone who must have been telling her sweet nothings.
8 comments:

 1. wooh!nc pc babysallyrose,ur swt mum anakifundisha jinsi ya kushirikiana na wenzio for happy events na kwenye shida,kip it on ur mind hta ukiwa mkubwa kama mama o swt bibi.. na Mungu atakubariki..lov t

  ReplyDelete
 2. tehtehteh,tel Owani i like photo yake,ts ril anaambiwa kitu sweet(wink)

  ReplyDelete
 3. asante sana aunt Lizzy,ni kweli mammy wangu always ananifundisha kucheza na watoto wengine and also kuwapelekea zawadi on their bday. nitakumbuka vyote nikiwa mkubwa,nataka niwe mtoto mzuri, mama yangu pia ananipeleka kanisani nitaleta picha nikiwa kanisani.

  Owami kapata mtu anampenda kweli alikua anamwambia sweet things,hahaha

  ReplyDelete
 4. Sallyrose mpenzi wangu nakupenda.

  ReplyDelete
 5. Hahahaaaa I Like the photo of Owami and that her friend she met.....real like it Sallyrose ur clever! We miss u a lot.(mama Alma)

  ReplyDelete
 6. sally mwambie owami hiyo picha yake nimeipenda. mama sally hiyo picha mpe mama owami amwekee owami akiwa mkubwa amwonyeshe, uone owami atakavyo bisha. Nakupenda sana sally.

  ReplyDelete
 7. thank you mama Alma, i knew that photo will make you happy.i will cum and play with baby Alma one of these days.

  ok aunty i will tell Owami kwamba umependa picha yake sana.nakupenda sana na mimi aunty ukipata mda tuonane jamani mimi naendaga pale marrybrown kucheza.

  ReplyDelete
 8. jamani ni kweli umesema lazima nimpe mamake Owami hiyo picha ili amuonyeshe akiwa mkubwa. watoto wanafuraisha sana jamani.

  ReplyDelete