hellow baby Sally,kama sikosei huyo anaitwa nungunungu kwa kiswahili na poccupine kwa english na miba yake hutumika kama sindani ya kushonea mikeke na kofia. ni mimi MKWEO.say Hi to your mom.Love you all.
yes aunty umepatia anaitwa PORCUPINE kwa kingereza na kwa kiswahili nilikua sijui anaitwa nani ata mummy wangu alikua hajui.wow inaelekea unajua kweli wanyama mpaka kazi ya izo miba unaijua? asante aunty kwa kunielimisha mimi na mummy wangu.
Hello baby Sally, uyo mnyama chini ya Porcupine anaitwa "wildebeest" sina uhakika kwa kiswahili probably ndo tunamwita Nyumbu, wanapenda sana kutembea pamoja, hata wakianza kuvuka barabara kama wako 100 lazima wote wavuke, wanatembea kama hawaoni.
I live with my mom in Mbezi, Dar es Salaam. I spend most of my time at home during the week coz my mom goes to work, but on weekends mum takes me round and i love it when she takes me to Marrybrown to play with other children on the swing.I'll tell you about my dad later... watch this space.
hellow baby Sally,kama sikosei huyo anaitwa nungunungu kwa kiswahili na poccupine kwa english na miba yake hutumika kama sindani ya kushonea mikeke na kofia.
ReplyDeleteni mimi MKWEO.say Hi to your mom.Love you all.
yes aunty umepatia anaitwa PORCUPINE kwa kingereza na kwa kiswahili nilikua sijui anaitwa nani ata mummy wangu alikua hajui.wow inaelekea unajua kweli wanyama mpaka kazi ya izo miba unaijua? asante aunty kwa kunielimisha mimi na mummy wangu.
ReplyDeleteHello baby Sally, uyo mnyama chini ya Porcupine anaitwa "wildebeest" sina uhakika kwa kiswahili probably ndo tunamwita Nyumbu, wanapenda sana kutembea pamoja, hata wakianza kuvuka barabara kama wako 100 lazima wote wavuke, wanatembea kama hawaoni.
ReplyDelete